Zaburi 18:11
Psalms 18:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika, hema lake kumzunguka, mawingu meusi ya mvua ya angani.
Psalms 18:11 in English
Psalms 18:11 · Berean Standard Bible
He made darkness His hiding place, and storm clouds a canopy around Him.
Context
9Akazipasua mbingu akashuka chini,
mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake. 10Alipanda juu ya kerubi akaruka,
akapaa juu kwa mbawa za upepo. 11Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika,
hema lake kumzunguka,
mawingu meusi ya mvua ya angani. 12Kutokana na mwanga wa uwepo wake
mawingu yalisogea,
ikanyesha mvua ya mawe
na umeme wa radi. 13Bwana alinguruma kutoka mbinguni,
sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.