Native Bible

Psalms 16:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana umeniwekea fungu langu na kikombe changu; umeyafanya mambo yangu yote yawe salama.

Psalms 16:5 in English

Psalms 16:5 · Berean Standard Bible

The LORD is my chosen portion and my cup; You have made my lot secure.

Context

3Kwa habari ya watakatifu walioko duniani, ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao. 4Huzuni itaongezeka kwa wale wanaokimbilia miungu mingine. Sitazimimina sadaka zao za damu au kutaja majina yao midomoni mwangu. 5Bwana umeniwekea fungu langu na kikombe changu; umeyafanya mambo yangu yote yawe salama. 6Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri, hakika nimepata urithi mzuri. 7Nitamsifu Bwana ambaye hunishauri, hata wakati wa usiku moyo wangu hunifundisha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.