Native Bible

Psalms 16:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huzuni itaongezeka kwa wale wanaokimbilia miungu mingine. Sitazimimina sadaka zao za damu au kutaja majina yao midomoni mwangu.

Psalms 16:4 in English

Psalms 16:4 · Berean Standard Bible

Sorrows will multiply to those who chase other gods. I will not pour out their libations of blood, or speak their names with my lips.

Context

2Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; pasipo wewe sina jambo jema.” 3Kwa habari ya watakatifu walioko duniani, ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao. 4Huzuni itaongezeka kwa wale wanaokimbilia miungu mingine. Sitazimimina sadaka zao za damu au kutaja majina yao midomoni mwangu. 5Bwana umeniwekea fungu langu na kikombe changu; umeyafanya mambo yangu yote yawe salama. 6Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri, hakika nimepata urithi mzuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.