Zaburi 16:2
Psalms 16:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; pasipo wewe sina jambo jema.”
Psalms 16:2 in English
Psalms 16:2 · Berean Standard Bible
I said to the LORD, “You are my Lord; apart from You I have no good thing.”
Context
1Ee Mungu, uniweke salama,
kwa maana kwako nimekimbilia. 2Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu;
pasipo wewe sina jambo jema.” 3Kwa habari ya watakatifu walioko duniani,
ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao. 4Huzuni itaongezeka kwa wale
wanaokimbilia miungu mingine.
Sitazimimina sadaka zao za damu
au kutaja majina yao midomoni mwangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.