Native Bible

Psalms 16:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, uniweke salama, kwa maana kwako nimekimbilia.

Psalms 16:1 in English

Psalms 16:1 · Berean Standard Bible

Preserve me, O God, for in You I take refuge.

Context

1Ee Mungu, uniweke salama, kwa maana kwako nimekimbilia. 2Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; pasipo wewe sina jambo jema.” 3Kwa habari ya watakatifu walioko duniani, ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.