Zaburi 16:7
Psalms 16:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitamsifu Bwana ambaye hunishauri, hata wakati wa usiku moyo wangu hunifundisha.
Psalms 16:7 in English
Psalms 16:7 · Berean Standard Bible
I will bless the LORD who counsels me; even at night my conscience instructs me.*
Context
5Bwana umeniwekea fungu langu na kikombe changu;
umeyafanya mambo yangu yote yawe salama. 6Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri,
hakika nimepata urithi mzuri. 7Nitamsifu Bwana ambaye hunishauri,
hata wakati wa usiku moyo wangu hunifundisha. 8Nimemweka Bwana mbele yangu daima.
Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume,
sitatikisika. 9Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia;
mwili wangu nao utapumzika salama,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.