Native Bible

Psalms 16:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimemweka Bwana mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika.

Psalms 16:8 in English

Psalms 16:8 · Berean Standard Bible

I have set * the LORD always before me. Because He is at my right hand, I will not be shaken.

Context

6Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri, hakika nimepata urithi mzuri. 7Nitamsifu Bwana ambaye hunishauri, hata wakati wa usiku moyo wangu hunifundisha. 8Nimemweka Bwana mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika. 9Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia; mwili wangu nao utapumzika salama, 10kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.