Zaburi 16:10
Psalms 16:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu.
Psalms 16:10 in English
Psalms 16:10 · Berean Standard Bible
For You will not abandon my soul to Sheol, nor will You let Your Holy One see decay.*
Context
8Nimemweka Bwana mbele yangu daima.
Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume,
sitatikisika. 9Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia;
mwili wangu nao utapumzika salama, 10kwa maana hutaniacha kaburini,
wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu. 11Umenijulisha njia ya uzima;
utanijaza na furaha mbele zako,
pamoja na furaha za milele
katika mkono wako wa kuume.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.