Native Bible

Psalms 16:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umenijulisha njia ya uzima; utanijaza na furaha mbele zako, pamoja na furaha za milele katika mkono wako wa kuume.

Psalms 16:11 in English

Psalms 16:11 · Berean Standard Bible

You have made known to me the path of life; You will fill me with joy in Your presence,* with eternal pleasures at Your right hand.

Context

9Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia; mwili wangu nao utapumzika salama, 10kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu. 11Umenijulisha njia ya uzima; utanijaza na furaha mbele zako, pamoja na furaha za milele katika mkono wako wa kuume.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.