Zaburi 145:20
Psalms 145:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana huwalinda wote wampendao, bali waovu wote atawaangamiza.
Psalms 145:20 in English
Psalms 145:20 · Berean Standard Bible
The LORD preserves all who love Him, but all the wicked He will destroy.
Context
18Bwana yu karibu na wote wamwitao,
karibu na wote wamwitao kwa uaminifu. 19Huwatimizia wamchao matakwa yao,
husikia kilio chao na kuwaokoa. 20Bwana huwalinda wote wampendao,
bali waovu wote atawaangamiza. 21Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana.
Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu
milele na milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.