Native Bible

Psalms 145:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana. Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu milele na milele.

Psalms 145:21 in English

Psalms 145:21 · Berean Standard Bible

My mouth will declare the praise of the LORD; let every creature bless His holy name forever and ever.

Context

19Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa. 20Bwana huwalinda wote wampendao, bali waovu wote atawaangamiza. 21Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana. Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu milele na milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.