Native Bible

Psalms 145:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa.

Psalms 145:19 in English

Psalms 145:19 · Berean Standard Bible

He fulfills the desires of those who fear Him; He hears their cry and saves them.

Context

17Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 18Bwana yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu. 19Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa. 20Bwana huwalinda wote wampendao, bali waovu wote atawaangamiza. 21Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana. Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu milele na milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.