Native Bible

Psalms 145:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.

Psalms 145:18 in English

Psalms 145:18 · Berean Standard Bible

The LORD is near to all who call on Him, to all who call out to Him in truth.

Context

16Waufumbua mkono wako, watosheleza haja ya kila kitu kilicho hai. 17Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 18Bwana yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu. 19Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa. 20Bwana huwalinda wote wampendao, bali waovu wote atawaangamiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.