Zaburi 145:16
Psalms 145:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waufumbua mkono wako, watosheleza haja ya kila kitu kilicho hai.
Psalms 145:16 in English
Psalms 145:16 · Berean Standard Bible
You open Your hand and satisfy the desire of every living thing.
Context
14Bwana huwategemeza wote waangukao,
na huwainua wote waliolemewa na mizigo yao. 15Macho yao wote yanakutazama wewe,
nawe huwapa chakula chao wakati wake. 16Waufumbua mkono wako,
watosheleza haja ya kila kitu kilicho hai. 17Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 18Bwana yu karibu na wote wamwitao,
karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.