Native Bible

Psalms 145:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana huwategemeza wote waangukao, na huwainua wote waliolemewa na mizigo yao.

Psalms 145:14 in English

Psalms 145:14 · Berean Standard Bible

The LORD upholds all who fall and lifts up all who are bowed down.

Context

12ili watu wote wajue matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako. 13Ufalme wako ni ufalme wa milele, mamlaka yako hudumu vizazi vyote. Bwana ni mwaminifu kwa ahadi zake zote na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 14Bwana huwategemeza wote waangukao, na huwainua wote waliolemewa na mizigo yao. 15Macho yao wote yanakutazama wewe, nawe huwapa chakula chao wakati wake. 16Waufumbua mkono wako, watosheleza haja ya kila kitu kilicho hai.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.