Native Bible

Psalms 141:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee Bwana Mwenyezi, ndani yako nimekimbilia, usiniache nife.

Psalms 141:8 in English

Psalms 141:8 · Berean Standard Bible

But my eyes are fixed on You, O GOD the Lord. In You I seek refuge; do not leave my soul defenseless.*

Context

6watawala wao watatupwa chini kutoka kwenye majabali, waovu watajifunza kwamba maneno yangu yalikuwa kweli. 7Watasema, “Kama mtu anavyolima na kuvunja ardhi, ndivyo mifupa yetu imetawanywa kwenye mlango wa kaburi.” 8Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee Bwana Mwenyezi, ndani yako nimekimbilia, usiniache nife. 9Niepushe na mitego waliyonitegea, kutokana na mitego iliyotegwa na watenda mabaya. 10Waovu na waanguke kwenye nyavu zao wenyewe, wakati mimi ninapita salama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.