Native Bible

Psalms 141:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waovu na waanguke kwenye nyavu zao wenyewe, wakati mimi ninapita salama.

Psalms 141:10 in English

Psalms 141:10 · Berean Standard Bible

Let the wicked fall into their own nets, while I pass by in safety.

Context

8Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee Bwana Mwenyezi, ndani yako nimekimbilia, usiniache nife. 9Niepushe na mitego waliyonitegea, kutokana na mitego iliyotegwa na watenda mabaya. 10Waovu na waanguke kwenye nyavu zao wenyewe, wakati mimi ninapita salama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.