Native Bible

Psalms 141:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niepushe na mitego waliyonitegea, kutokana na mitego iliyotegwa na watenda mabaya.

Psalms 141:9 in English

Psalms 141:9 · Berean Standard Bible

Keep me from the snares they have laid for me, and from the lures of evildoers.

Context

7Watasema, “Kama mtu anavyolima na kuvunja ardhi, ndivyo mifupa yetu imetawanywa kwenye mlango wa kaburi.” 8Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee Bwana Mwenyezi, ndani yako nimekimbilia, usiniache nife. 9Niepushe na mitego waliyonitegea, kutokana na mitego iliyotegwa na watenda mabaya. 10Waovu na waanguke kwenye nyavu zao wenyewe, wakati mimi ninapita salama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.