Zaburi 141:7
Psalms 141:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watasema, “Kama mtu anavyolima na kuvunja ardhi, ndivyo mifupa yetu imetawanywa kwenye mlango wa kaburi.”
Psalms 141:7 in English
Psalms 141:7 · Berean Standard Bible
As when one plows and breaks up the soil, so our bones have been scattered at the mouth of Sheol.
Context
5Mtu mwenye haki na anipige: ni jambo la huruma;
na anikemee: ni mafuta kichwani mwangu.
Kichwa changu hakitalikataa.
Hata hivyo, maombi yangu daima
ni kinyume cha watenda mabaya, 6watawala wao watatupwa chini
kutoka kwenye majabali,
waovu watajifunza kwamba maneno yangu
yalikuwa kweli. 7Watasema, “Kama mtu anavyolima na kuvunja ardhi,
ndivyo mifupa yetu imetawanywa kwenye mlango wa kaburi.” 8Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee Bwana Mwenyezi,
ndani yako nimekimbilia, usiniache nife. 9Niepushe na mitego waliyonitegea,
kutokana na mitego iliyotegwa na watenda mabaya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.