Native Bible

Psalms 135:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana, kwa kuwa Bwana ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.

Psalms 135:3 in English

Psalms 135:3 · Berean Standard Bible

Hallelujah, for the LORD is good; sing praises to His name, for it is lovely.

Context

1Msifuni Bwana. Lisifuni jina la Bwana, msifuni, enyi watumishi wa Bwana, 2ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Bwana, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu. 3Msifuni Bwana, kwa kuwa Bwana ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza. 4Kwa maana Bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, Israeli kuwa mali yake ya thamani. 5Ninajua ya kuwa Bwana ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu kuliko miungu yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.