Native Bible

Psalms 135:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana. Lisifuni jina la Bwana, msifuni, enyi watumishi wa Bwana,

Psalms 135:1 in English

Psalms 135:1 · Berean Standard Bible

Hallelujah!* Praise the name of the LORD. Give praise, O servants of the LORD,

Context

1Msifuni Bwana. Lisifuni jina la Bwana, msifuni, enyi watumishi wa Bwana, 2ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Bwana, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu. 3Msifuni Bwana, kwa kuwa Bwana ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.