Zaburi 135:2
Psalms 135:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Bwana, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu.
Psalms 135:2 in English
Psalms 135:2 · Berean Standard Bible
who stand in the house of the LORD, in the courts of the house of our God.
Context
1Msifuni Bwana.
Lisifuni jina la Bwana,
msifuni, enyi watumishi wa Bwana, 2ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Bwana,
katika nyua za nyumba ya Mungu wetu. 3Msifuni Bwana, kwa kuwa Bwana ni mwema,
liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza. 4Kwa maana Bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe,
Israeli kuwa mali yake ya thamani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.