Native Bible

Psalms 135:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninajua ya kuwa Bwana ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu kuliko miungu yote.

Psalms 135:5 in English

Psalms 135:5 · Berean Standard Bible

For I know that the LORD is great; our Lord is above all gods.

Context

3Msifuni Bwana, kwa kuwa Bwana ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza. 4Kwa maana Bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, Israeli kuwa mali yake ya thamani. 5Ninajua ya kuwa Bwana ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu kuliko miungu yote. 6Bwana hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote. 7Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua na huleta upepo kutoka ghala zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.