Native Bible

Psalms 135:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote.

Psalms 135:6 in English

Psalms 135:6 · Berean Standard Bible

The LORD does all that pleases Him in the heavens and on the earth, in the seas and in all their depths.

Context

4Kwa maana Bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, Israeli kuwa mali yake ya thamani. 5Ninajua ya kuwa Bwana ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu kuliko miungu yote. 6Bwana hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote. 7Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua na huleta upepo kutoka ghala zake. 8Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.