Native Bible

Psalms 135:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama.

Psalms 135:8 in English

Psalms 135:8 · Berean Standard Bible

He struck down the firstborn of Egypt, of both man and beast.

Context

6Bwana hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote. 7Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua na huleta upepo kutoka ghala zake. 8Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama. 9Alipeleka ishara zake na maajabu katikati yako, ee Misri, dhidi ya Farao na watumishi wake wote. 10Aliyapiga mataifa mengi, na akaua wafalme wenye nguvu:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.