Zaburi 135:10
Psalms 135:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliyapiga mataifa mengi, na akaua wafalme wenye nguvu:
Psalms 135:10 in English
Psalms 135:10 · Berean Standard Bible
He struck down many nations and slaughtered mighty kings:
Context
8Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri,
mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama. 9Alipeleka ishara zake na maajabu katikati yako, ee Misri,
dhidi ya Farao na watumishi wake wote. 10Aliyapiga mataifa mengi,
na akaua wafalme wenye nguvu: 11Mfalme Sihoni na Waamori,
Ogu mfalme wa Bashani
na wafalme wote wa Kanaani: 12akatoa nchi yao kuwa urithi,
urithi kwa watu wake Israeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.