Native Bible

Psalms 135:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia.

Psalms 135:18 in English

Psalms 135:18 · Berean Standard Bible

Those who make them become like them, as do all who trust in them.

Context

16Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, zina macho, lakini haziwezi kuona; 17zina masikio, lakini haziwezi kusikia, wala hakuna pumzi katika vinywa vyao. 18Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia. 19Ee nyumba ya Israeli, msifuni Bwana; ee nyumba ya Aroni, msifuni Bwana; 20ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana; ninyi mnaomcha, msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.