Native Bible

Psalms 135:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana; ninyi mnaomcha, msifuni Bwana.

Psalms 135:20 in English

Psalms 135:20 · Berean Standard Bible

O house of Levi, bless the LORD; you who fear the LORD, bless the LORD!

Context

18Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia. 19Ee nyumba ya Israeli, msifuni Bwana; ee nyumba ya Aroni, msifuni Bwana; 20ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana; ninyi mnaomcha, msifuni Bwana. 21Msifuni Bwana kutoka Sayuni, msifuni yeye aishiye Yerusalemu. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.