Zaburi 135:19
Psalms 135:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee nyumba ya Israeli, msifuni Bwana; ee nyumba ya Aroni, msifuni Bwana;
Psalms 135:19 in English
Psalms 135:19 · Berean Standard Bible
O house of Israel, bless the LORD; O house of Aaron, bless the LORD;
Context
17zina masikio, lakini haziwezi kusikia,
wala hakuna pumzi katika vinywa vyao. 18Wale wanaozitengeneza watafanana nazo,
vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia. 19Ee nyumba ya Israeli, msifuni Bwana;
ee nyumba ya Aroni, msifuni Bwana; 20ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana;
ninyi mnaomcha, msifuni Bwana. 21Msifuni Bwana kutoka Sayuni,
msifuni yeye aishiye Yerusalemu.
Msifuni Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.