Native Bible

Psalms 135:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, zina macho, lakini haziwezi kuona;

Psalms 135:16 in English

Psalms 135:16 · Berean Standard Bible

They have mouths, but cannot speak; they have eyes, but cannot see;

Context

14Maana Bwana atawathibitisha watu wake, na kuwahurumia watumishi wake. 15Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 16Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, zina macho, lakini haziwezi kuona; 17zina masikio, lakini haziwezi kusikia, wala hakuna pumzi katika vinywa vyao. 18Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.