Zaburi 135:14
Psalms 135:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maana Bwana atawathibitisha watu wake, na kuwahurumia watumishi wake.
Psalms 135:14 in English
Psalms 135:14 · Berean Standard Bible
For the LORD will vindicate His people * and will have compassion on His servants.
Context
12akatoa nchi yao kuwa urithi,
urithi kwa watu wake Israeli. 13Ee Bwana, jina lako ladumu milele,
kumbukumbu za fahari zako, Ee Bwana, kwa vizazi vyote. 14Maana Bwana atawathibitisha watu wake,
na kuwahurumia watumishi wake. 15Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu,
zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 16Zina vinywa, lakini haziwezi kusema,
zina macho, lakini haziwezi kuona;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.