Native Bible

Psalms 124:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao.

Psalms 124:6 in English

Psalms 124:6 · Berean Standard Bible

Blessed be the LORD, who has not given us as prey to their teeth.

Context

4mafuriko yangalitugharikisha, maji mengi yangalitufunika, 5maji yaendayo kasi yangalituchukua. 6Bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. 7Tumeponyoka kama ndege kutoka mtego wa mwindaji; mtego umevunjika, nasi tukaokoka. 8Msaada wetu ni katika jina la Bwana, Muumba wa mbingu na dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.