Native Bible

Psalms 124:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msaada wetu ni katika jina la Bwana, Muumba wa mbingu na dunia.

Psalms 124:8 in English

Psalms 124:8 · Berean Standard Bible

Our help is in the name of the LORD, the Maker of heaven and earth.

Context

6Bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. 7Tumeponyoka kama ndege kutoka mtego wa mwindaji; mtego umevunjika, nasi tukaokoka. 8Msaada wetu ni katika jina la Bwana, Muumba wa mbingu na dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.