Native Bible

Psalms 12:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, utatuweka salama na kutulinda na kizazi hiki milele.

Psalms 12:7 in English

Psalms 12:7 · Berean Standard Bible

You, O LORD, will keep us; You will forever guard us from this generation.

Context

5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, nitainuka sasa,” asema Bwana. “Nitawalinda kutokana na wale wenye nia mbaya juu yao.” 6Maneno ya Bwana ni safi, kama fedha iliyosafishwa katika tanuru, iliyosafishwa mara saba. 7Ee Bwana, utatuweka salama na kutulinda na kizazi hiki milele. 8Watu waovu huenda wakiringa kila mahali wakati ambapo yule aliye mbaya sana ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.