Zaburi 12:6
Psalms 12:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maneno ya Bwana ni safi, kama fedha iliyosafishwa katika tanuru, iliyosafishwa mara saba.
Psalms 12:6 in English
Psalms 12:6 · Berean Standard Bible
The words of the LORD are flawless, like silver refined in a furnace, like gold purified sevenfold.*
Context
4ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda;
midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?” 5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge
na kulia kwa uchungu kwa wahitaji,
nitainuka sasa,” asema Bwana.
“Nitawalinda kutokana na wale
wenye nia mbaya juu yao.” 6Maneno ya Bwana ni safi,
kama fedha iliyosafishwa katika tanuru,
iliyosafishwa mara saba. 7Ee Bwana, utatuweka salama
na kutulinda na kizazi hiki milele. 8Watu waovu huenda wakiringa kila mahali
wakati ambapo yule aliye mbaya sana
ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.