Native Bible

Psalms 12:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu waovu huenda wakiringa kila mahali wakati ambapo yule aliye mbaya sana ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.

Psalms 12:8 in English

Psalms 12:8 · Berean Standard Bible

The wicked wander freely, and vileness is exalted among men.

Context

6Maneno ya Bwana ni safi, kama fedha iliyosafishwa katika tanuru, iliyosafishwa mara saba. 7Ee Bwana, utatuweka salama na kutulinda na kizazi hiki milele. 8Watu waovu huenda wakiringa kila mahali wakati ambapo yule aliye mbaya sana ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.