Zaburi 12:2
Psalms 12:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu.
Psalms 12:2 in English
Psalms 12:2 · Berean Standard Bible
They lie to one another; they speak with flattering lips and a double heart.
Context
1Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka;
waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu. 2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo;
midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 3Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila
na kila ulimi uliojaa majivuno, 4ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda;
midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.