Native Bible

Psalms 12:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka; waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu.

Psalms 12:1 in English

Psalms 12:1 · Berean Standard Bible

Help, O LORD, for the godly are no more; the faithful have vanished from among men.

Context

1Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka; waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu. 2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 3Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila na kila ulimi uliojaa majivuno,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.