Zaburi 106:14
Psalms 106:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jangwani walitawaliwa na tamaa zao, walimjaribu Mungu nyikani.
Psalms 106:14 in English
Psalms 106:14 · Berean Standard Bible
They craved intensely in the wilderness and tested God in the desert.
Context
12Ndipo walipoamini ahadi zake,
nao wakaimba sifa zake. 13Lakini mara walisahau aliyowatendea,
wala hawakungojea shauri lake. 14Jangwani walitawaliwa na tamaa zao,
walimjaribu Mungu nyikani. 15Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba,
lakini akatuma juu yao ugonjwa wa kudhoofisha. 16Kambini walimwonea wivu Mose,
na pia Aroni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.