Zaburi 106:12
Psalms 106:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo walipoamini ahadi zake, nao wakaimba sifa zake.
Psalms 106:12 in English
Psalms 106:12 · Berean Standard Bible
Then they believed His promises and sang His praise.
Context
10Aliwaokoa mikononi mwa adui;
kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa. 11Maji yaliwafunika adui zao,
hakunusurika hata mmoja. 12Ndipo walipoamini ahadi zake,
nao wakaimba sifa zake. 13Lakini mara walisahau aliyowatendea,
wala hawakungojea shauri lake. 14Jangwani walitawaliwa na tamaa zao,
walimjaribu Mungu nyikani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.