Native Bible

Psalms 106:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliwaokoa mikononi mwa adui; kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa.

Psalms 106:10 in English

Psalms 106:10 · Berean Standard Bible

He saved them from the hand that hated them; He redeemed them from the hand of the enemy.

Context

8Hata hivyo aliwaokoa kwa ajili ya jina lake, ili apate kudhihirisha uweza wake mkuu. 9Alikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka, akawaongoza katika vilindi vyake kama vile jangwani. 10Aliwaokoa mikononi mwa adui; kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa. 11Maji yaliwafunika adui zao, hakunusurika hata mmoja. 12Ndipo walipoamini ahadi zake, nao wakaimba sifa zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.