Native Bible

Psalms 106:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo aliwaokoa kwa ajili ya jina lake, ili apate kudhihirisha uweza wake mkuu.

Psalms 106:8 in English

Psalms 106:8 · Berean Standard Bible

Yet He saved them for the sake of His name, to make His power known.

Context

6Tumetenda dhambi, kama vile baba zetu walivyotenda, tumekosa na tumetenda uovu. 7Wakati baba zetu walipokuwa Misri, hawakuzingatia maajabu yako, wala hawakukumbuka wingi wa fadhili zako, bali waliasi kando ya bahari, Bahari ya Shamu. 8Hata hivyo aliwaokoa kwa ajili ya jina lake, ili apate kudhihirisha uweza wake mkuu. 9Alikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka, akawaongoza katika vilindi vyake kama vile jangwani. 10Aliwaokoa mikononi mwa adui; kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.