Native Bible

Psalms 106:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba, lakini akatuma juu yao ugonjwa wa kudhoofisha.

Psalms 106:15 in English

Psalms 106:15 · Berean Standard Bible

So He granted their request, but sent a wasting disease upon them.

Context

13Lakini mara walisahau aliyowatendea, wala hawakungojea shauri lake. 14Jangwani walitawaliwa na tamaa zao, walimjaribu Mungu nyikani. 15Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba, lakini akatuma juu yao ugonjwa wa kudhoofisha. 16Kambini walimwonea wivu Mose, na pia Aroni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa Bwana. 17Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, ikawazika Abiramu na kundi lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.