Zaburi 105:4
Psalms 105:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtafuteni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote.
Psalms 105:4 in English
Psalms 105:4 · Berean Standard Bible
Seek out the LORD and His strength; seek His face always.
Context
2Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa,
waambieni matendo yake yote ya ajabu. 3Lishangilieni jina lake takatifu,
mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 4Mtafuteni Bwana na nguvu zake,
utafuteni uso wake siku zote. 5Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya,
miujiza yake na hukumu alizozitamka, 6enyi wazao wa Abrahamu mtumishi wake,
enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.