Native Bible

Psalms 105:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka,

Psalms 105:5 in English

Psalms 105:5 · Berean Standard Bible

Remember the wonders He has done, His marvels, and the judgments He has pronounced,

Context

3Lishangilieni jina lake takatifu, mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 4Mtafuteni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. 5Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka, 6enyi wazao wa Abrahamu mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 7Yeye ndiye Bwana Mungu wetu, hukumu zake zimo duniani pote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.