Native Bible

Psalms 105:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ndiye Bwana Mungu wetu, hukumu zake zimo duniani pote.

Psalms 105:7 in English

Psalms 105:7 · Berean Standard Bible

He is the LORD our God; His judgments carry throughout the earth.

Context

5Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka, 6enyi wazao wa Abrahamu mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 7Yeye ndiye Bwana Mungu wetu, hukumu zake zimo duniani pote. 8Hulikumbuka agano lake milele, neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 9agano alilolifanya na Abrahamu, kiapo alichomwapia Isaki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.