Zaburi 105:9
Psalms 105:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
agano alilolifanya na Abrahamu, kiapo alichomwapia Isaki.
Psalms 105:9 in English
Psalms 105:9 · Berean Standard Bible
the covenant He made with Abraham, and the oath He swore to Isaac.
Context
7Yeye ndiye Bwana Mungu wetu,
hukumu zake zimo duniani pote. 8Hulikumbuka agano lake milele,
neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 9agano alilolifanya na Abrahamu,
kiapo alichomwapia Isaki. 10Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele: 11“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani
kuwa sehemu utakayoirithi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.