Zaburi 105:11
Psalms 105:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani kuwa sehemu utakayoirithi.”
Psalms 105:11 in English
Psalms 105:11 · Berean Standard Bible
“I will give you the land of Canaan as the portion of your inheritance.”
Context
9agano alilolifanya na Abrahamu,
kiapo alichomwapia Isaki. 10Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele: 11“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani
kuwa sehemu utakayoirithi.” 12Walipokuwa wachache kwa idadi,
wachache sana na wageni ndani yake, 13walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine,
kutoka ufalme mmoja hadi mwingine.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.