Native Bible

Psalms 105:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine.

Psalms 105:13 in English

Psalms 105:13 · Berean Standard Bible

they wandered from nation to nation, from one kingdom to another.

Context

11“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani kuwa sehemu utakayoirithi.” 12Walipokuwa wachache kwa idadi, wachache sana na wageni ndani yake, 13walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. 14Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema: 15“Msiwaguse niliowatia mafuta; msiwadhuru manabii wangu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.