Zaburi 105:14
Psalms 105:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:
Psalms 105:14 in English
Psalms 105:14 · Berean Standard Bible
He let no man oppress them; He rebuked kings on their behalf:
Context
12Walipokuwa wachache kwa idadi,
wachache sana na wageni ndani yake, 13walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine,
kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. 14Hakuruhusu mtu yeyote awaonee;
kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema: 15“Msiwaguse niliowatia mafuta;
msiwadhuru manabii wangu.” 16Akaiita njaa juu ya nchi
na kuharibu chakula chao chote,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.